BIANKA STORE Whatsap group | JIUNGE | - WHATSAPP GROUP

JIUNGE NA MAGROUP

Ad Code

Responsive Ads Here

Monday, February 6, 2023

BIANKA STORE Whatsap group | JIUNGE |



 Habari, karibu Bianka store mashuka point. 

Shuka 2 foronya 4 King-size size kubwa na ya mwisho kwa Bei ya jumla ni 19000 tu,ukinunua kuanzia pic 10 unapata punguzo hadi 18000 tu. Na ukihitaji kwa rejareja 23000 tu.

💯Shuka 2 foronya 2 size 7*6 16000 kwa Bei ya jumla, na 18000 rejareja.

💯 Shuka 2 foronya 2 size 6*6 15000 tu kwa bei ya jumla, 17000 rejareja.

💯 Shuka 2 foronya 4 za Uganda pure cotton 34000 tu kwa bei ya jumla.kuanzia pic 10. Na wale wa kunua balo pia zipo kwa Bei nafuu sana, za Uganda Ni 690,000 inakua na pic 20 ambapo Ni mashuka 40 na foronya 80.

💯Single duvert Ni kubwa size 6 Kwa 6.. tsh 19000 tu bei ya jumla ukichukua kuanzia 10 ni 18000. Rejareja 23000 imepungua bei...

💯Duvet 1, shuka 2 foronya 2 42000 jumla kuanzia 3. Moja 45000.

💯Shuka 2, foronya 4, panzia 4, jumla tsh 52000 kuanzia 3, reja reja tsh 58000

💯Wenye vitanda vyenu hii kiboko..... Shuka 1 kubwaaa , duvet cover 1..foronya 4..tsh 48000 tu. 

💯Kwa wanaohitaji mashuka meupe pure cotton kwa ajili ya hotelini, na matumizi Mengine pia zipo kwa 42000 tu kuanzia 10 na 45000 kwa mojamoja.


Mapazia


Ni mita 2 na mita 1.5


Mita 1.5 jumla 11000 Kuanzia pcs 10 rejareja 14000


Mita 2 jumla 15000 rejareja 18000

Kuanzia PCs 10 utapata Kwa 14000..


Mikoani natuma kwa uaminifu mkubwa kabisa, ukihitaji kuja dukani ni Dar es salaam kariakoo mtaa wa Uhuru na Kongo pia mtaa wa swahili na chikichi kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0627 074103 au jiunge kwenye group kupitia link hapo chini. Karibu.

>>>>>>>BOFYA HAPA KUJIUNGA<<<<<<<

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot